House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
📣 Inapangishwa MBEZI KWA MSUGURI
📍 Kodi ni Tsh 250,000/= *6
_____
_________
#Umbali wa kutembea dakika 15 kwa Miguu
• Sebule Kubwa
• Chumba Master
• Jiko kubwa
• Choo Cha wageni
* Maji Ndani
* Luku yako
* Ndani ya fence zipo 3 ila Imebakia Moja tu
×Hakuna Parking
_______
#Malipo ya dalali ya mwezi ni Tsh 250,000/=
#Kupelekwa kuona Nyumba Ni Tsh 15,000/=