Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
๐ฃ Inapangishwa MBEZI KWA MSUGURI
๐ Kodi ni Tsh 250,000/= *6
_____
_________
#Umbali wa kutembea dakika 15 kwa Miguu
โข Sebule Kubwa
โข Chumba Master
โข Jiko kubwa
โข Choo Cha wageni
* Maji Ndani
* Luku yako
* Ndani ya fence zipo 3 ila Imebakia Moja tu
รHakuna Parking
_______
#Malipo ya dalali ya mwezi ni Tsh 250,000/=
#Kupelekwa kuona Nyumba Ni Tsh 15,000/=