House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI MWISHO DK10 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
------
Chumba master
Seble kubwa
Jilo kubwa la kisasa lina makabati
Full air condition
Tiles
Gypsum
Garden safi
Sehemu ya kupumzika safi
Cctv camera
Garden safi
Electronic fence
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 330,000/=×6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3.3
---------
Contact
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT 🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏
0713661530_0783661530_0612661531_0745593030