House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam
INAKUA WAZI TAR 28/06/2024 ILA KJJA KUIONA MPAKA NDAN NA KULIPIA NI RUKSA KANISA
NI APARTMENT NZURI SANA YA KUPANGA IPO KINYEREZ KITUO NI KIFURU
#####################
KODI NI 100,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
#####################
SIFA ZAKE
########
CHUMBA MASTER KIKUBWA
SEBULE KUBWA
PUBLIC TOILET YA NJE
JIKO ZURI LA NJE
LUKU YAKE
MAJI NDAN DAWASA
TILES
GYPSUM
ALUMINUM
MAZINGIRA MAZURI NA TULIVU
#####################
UMBALI NI DK 10 KWA MIGUU KUTOKA MENROD HII BRBR YA LAMI INAYOTOKA MBEZI KUELEKEA KINYEREZ
PIA UKITOKEA MBEZI KWA MSUGURI UNAFIKA NYUMBAN VIZUR SANA NA USAFIRI WA BAJAJI UPO WA UAKIKA
######################
SERVICHAJ ELIFU 15 NA ITADUMU MPAKA UPATE BILA KUCHAJIWA TENA
BILA KUSAAU MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
.
DALALI
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI