House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA NA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 05/04/2024 KUONA NA KUFANYA MALIPO NI RUKSA FUNGUO ZIPO
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#SEBULE YA WASTANI
โผ๏ธHAKUNA MASTER BEDROOM
#JIKO KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
BEI NI 300K X 6
ILIPWE LAKI 3 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
๐๏ธ APARTMENT HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BODABODA
๐ค APARTMENT HII ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 05/04/2024 KUONA NA KUFANYA MALIPO NI RUKSA KABISA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI
___
A