House for Rent at Msingi, Singida

 media -1
media -1
Sh. 100,000,000

NYUMBA INAUZWA AREA C -MTAA MZURI KABISA NA TULIVU.
________________________________
TAZAMA MBAKA MWISHO KUONA.

(Vyumba 04-masta moja,seble,jiko,dining,public toilet!.

KIWANJA-800sqm

DOCUMENT-HATI

BEI-ASK?

CHUKUA ELIMU HAPA (MUHIMU)
________________________________
1.MOJA KATI YA VIGEZO VYA MSINGI UNAPOANGALIA THAMANI YA NYUMBA NI MAHALI ILIPOJENGWA
________________________________

2.KATIKA MWAVULI WA REAL ESTATE UKITAKA KUWA REAL ESTATE INVESTOR MZURI LAZIMA UZINGATIE LOCATION PROPERTIES ZAKO ZILIPO.HIYO NI MOJA KATI YA SABABU ZA MSINGI SANA KIBIASHARA SABABU INASAIDIA KWENYE KUJUA THAMANI,KUPANGA BEI LAKINI PIA KUWEZA KUJUA RETURN YAKO (umewekeza lakini inaweza kukuchukua muda gani kupata ile pesa na faida kuanza kuiona?)
________________________________

3.KWA MKOA WA DODOMA MAENEO YENYE SOKO ZURI KIBIASHARA IWE KUPANGA,KUUZA NYUMBA BASI KWA HARAKA ZAIDI MAENEO YA AREA C,AREA D,UZUNGUNI,AREA A,AREA E(emmaus) Yanasoko zaidi
Naweza kukwambia nyumba nzuri ya kupanga Area C,Area D,Uzunguni,Emmaus(Area E) inaweza kuwa na bei kubwa kuliko nyumba zilizo maeneo ya kisasa,Ilazo,meriwa,makulu ama chidachi (Pita kwenye page hii hii kwaajili ya Research)
________________________________
04.NIWAIBIE SIRI REAL ESTATE INVESTORS Badala ya kujenga nyumba yako ya kupanga ilazo,kisasa,n.k ambako kuanzia kiwanja mpaka nyumba vitakugharimu zaidi ya 100M ni mara kumi bora zaidi kununua Nyumba za bei nafuu(Wengi huziita za kizamani) maeneo karibu na mjini ambazo ukazi-Renovate zikakaa katika ubora mzuri na ukapangisha kwa bei nzuri zaidi ya hata uko ulikotaka kujenga sababu soko la mjini ni kubwa na linalipa zaidi.Na hata kwenye kuuza unaeza uza bei nzuri zaidi lakini pia kupata mteja kwa haraka ukilinganisha na maeneo mengine
________________________________
05.WATU WENGI WANAKUWA NA HELA LAKINI WANAKOSA MTU SAHIHI WA KUMSHAURI,UKIHITAJI CONSULTATION KWENYE MASUALA YA REAL ESTATE NIPIGIE.
NI MUHIMU KUWA NA TAARIFA SAHIHI KUTOKA KWA MTU SAHIHI KABLA YA KUFANYA JAMBO
"IF YOU WANT TO KNOW SOMETHING CONSULT AN EXPERT" SABABU SISI WASWAHILI HUWA TUNA MAJIBU YA KILA SWALI ILA HATUNA TAALUMA YA KILA KITU.
________________________________

Extraordinary_dodoma
dalali_extraordinary_dodoma
Extraordinary_dodoma

Similar items by location

Plot for sale at Msingi, Singida

Sh. 160,840,000

RESIDENTIAL HOUSE DESIGN 🏠🏠🏠SPECIFICATIONS GROUND FLOOR 1) One masterbedroom2) Dining room3) Loun...

3 Bedrooms House for sale at Msingi, Singida

Sh. 50,000

NYUMBA NA MSINGI WA VYUMBA 10, INAUZA BANK, TSHS.45 MILIONI, SALASALA KILIMAHEWA.Eneo ni KILIMAHWE J...

Plot for sale at Msingi, Singida

Sh. 320,000,000

Gofu na plot 4 sale...Location Mbez beach upande wa chini.......Distance dk6 to main road..Near by E...

Sh. 58,000,000

SQM 900 PLUS PAGALE LA MSINGI WA VYUMBA 3Kiwanja kimepimwa tayarmaji na umeme vipo,bei 58m, maongezi...

Plot for sale at Msingi, Singida

Sh. 170,500,000

DESIGN FOR RESIDENTIAL HOUSE 🏠🏠🏠SPECIFICATIONS/ REQUIREMENTS GROUND FLOOR1) One Masterbedroom2) K...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Msingi, Singida

Sh. 350,000

APARTMENT FOR RENT #4 ON COMPOUND #Location.Mongolandege Shule ya Msingi #Zero Distance To Main Road...

Plots for sale at Msingi, Singida
  • Project

Sh. 35,000,000

KIWANJA CHENYE MSINGI FENSI KINAUZWA 1850Sqm (FUNGUA MWAKA KIBABE OFA)__________________________MAHA...

Plot for sale at Msingi, Singida

Sh. 11,000,000

Kiwanja Nala NgageyaNi cha 3 kutoka lami (Singida road)Kina msingi kozi 7Sqm 556Kina hatiBei: Milion...

House for sale at Msingi, Singida

Sh. 40,000,000

KIWANJA 600SQM KINAUZWA_______MAHALI-ILAZO WEST_______UKUBWA-600SQM______DOCUMENT-HATI SAFI_______KI...

Plot for sale at Msingi, Singida

Sh. 30,000,000

KIWANJA CHENYE MSINGI FENSI KINAUZWA 1850Sqm (FUNGUA MWAKA KIBABE OFA)__________________________MAHA...

Plot for sale at Msingi, Singida

Sh. 30,000,000

KIWANJA CHENYE MSINGI FENSI KINAUZWA 1850Sqm (FUNGUA MWAKA KIBABE OFA)__________________________MAHA...

Plot for sale at Msingi, Singida

Sh. 25,000,000

KIWANJA CHENYE MSINGI WA FENSI KINAUZWA MWENYE KUKIWAHIMKALAMA BLOCK DD/JIRANI NA MAHAKAMA KUU,NHIF ...

Plot for sale at Msingi, Singida

Sh. 25,000,000

KIWANJA CHENYE MSINGI WA FENSI KINAUZWA MWENYE KUKIWAHIMKALAMA BLOCK DD/JIRANI NA MAHAKAMA KUU,NHIF ...

3 Bedrooms House for Rent at Msingi, Singida

Sh. 450,000

HOUSE FOR RENT #STAND ALONE #Location.Mongolandege Shule ya Msingi #Zero Distance To Main Road #Pric...

Plot for sale at Msingi, Singida

Sh. 140,512,000

RESIDENTIAL HOUSE DESIGN 🏠🏠🏠SPECIFICATIONS/ REQUIREMENTS GROUND FLOOR1) Two masterbedrooms2) Kitc...

Plot for sale at Msingi, Singida

Sh. 30,000,000

KIWANJA CHENYE MSINGI FENSI KINAUZWA 1850Sqm (FUNGUA MWAKA KIBABE OFA)__________________________MAHA...

House for sale at Msingi, Singida

Sh. 39,000,000

KIWANJA 600SQM KINAUZWA_______MAHALI-ILAZO WEST_______UKUBWA-600SQM______DOCUMENT-HATI SAFI_______KI...