Nyumba inapangishwa Msingi, Singida
NYUMBA INAUZWA AREA C -MTAA MZURI KABISA NA TULIVU.
________________________________
TAZAMA MBAKA MWISHO KUONA.
(Vyumba 04-masta moja,seble,jiko,dining,public toilet!.
KIWANJA-800sqm
DOCUMENT-HATI
BEI-ASK?
CHUKUA ELIMU HAPA (MUHIMU)
________________________________
1.MOJA KATI YA VIGEZO VYA MSINGI UNAPOANGALIA THAMANI YA NYUMBA NI MAHALI ILIPOJENGWA
________________________________
2.KATIKA MWAVULI WA REAL ESTATE UKITAKA KUWA REAL ESTATE INVESTOR MZURI LAZIMA UZINGATIE LOCATION PROPERTIES ZAKO ZILIPO.HIYO NI MOJA KATI YA SABABU ZA MSINGI SANA KIBIASHARA SABABU INASAIDIA KWENYE KUJUA THAMANI,KUPANGA BEI LAKINI PIA KUWEZA KUJUA RETURN YAKO (umewekeza lakini inaweza kukuchukua muda gani kupata ile pesa na faida kuanza kuiona?)
________________________________
3.KWA MKOA WA DODOMA MAENEO YENYE SOKO ZURI KIBIASHARA IWE KUPANGA,KUUZA NYUMBA BASI KWA HARAKA ZAIDI MAENEO YA AREA C,AREA D,UZUNGUNI,AREA A,AREA E(emmaus) Yanasoko zaidi
Naweza kukwambia nyumba nzuri ya kupanga Area C,Area D,Uzunguni,Emmaus(Area E) inaweza kuwa na bei kubwa kuliko nyumba zilizo maeneo ya kisasa,Ilazo,meriwa,makulu ama chidachi (Pita kwenye page hii hii kwaajili ya Research)
________________________________
04.NIWAIBIE SIRI REAL ESTATE INVESTORS Badala ya kujenga nyumba yako ya kupanga ilazo,kisasa,n.k ambako kuanzia kiwanja mpaka nyumba vitakugharimu zaidi ya 100M ni mara kumi bora zaidi kununua Nyumba za bei nafuu(Wengi huziita za kizamani) maeneo karibu na mjini ambazo ukazi-Renovate zikakaa katika ubora mzuri na ukapangisha kwa bei nzuri zaidi ya hata uko ulikotaka kujenga sababu soko la mjini ni kubwa na linalipa zaidi.Na hata kwenye kuuza unaeza uza bei nzuri zaidi lakini pia kupata mteja kwa haraka ukilinganisha na maeneo mengine
________________________________
05.WATU WENGI WANAKUWA NA HELA LAKINI WANAKOSA MTU SAHIHI WA KUMSHAURI,UKIHITAJI CONSULTATION KWENYE MASUALA YA REAL ESTATE NIPIGIE.
NI MUHIMU KUWA NA TAARIFA SAHIHI KUTOKA KWA MTU SAHIHI KABLA YA KUFANYA JAMBO
"IF YOU WANT TO KNOW SOMETHING CONSULT AN EXPERT" SABABU SISI WASWAHILI HUWA TUNA MAJIBU YA KILA SWALI ILA HATUNA TAALUMA YA KILA KITU.
________________________________