House for rent at Ubungo, Dar Es Salaam


#APARTMENT YA KUPANGA
#SEBULE KUBWA SANA
#CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWA
#JIKO ZURI KUBWA SANA
#TILLES
#GYPSUM
#SHATA WINDOW
#MAZINGIRA MAZURI SANA
#NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
#LUKU_INAJITEGEMEA
#MAJI NI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#LOCATION UBUNGO_MAKOKA_KWA_MKUA
#USAFIRI BAJAJ 700 KUTOKEA UBUNGO RIVERSIDE UBUNGO EXTERNA AU KIMARA KOROGWE MWENDOKASI UKISHUKA UNATEMBEA DKK 5
#BEI NI 220,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
#SERVICER_CHARGER_15000
#DALALI_AMBWENE_UBUNGO
#0712348316Whatsp
#0769680796