House for sale at Mbweni, Dar Es Salaam


Nyumba ya Ghorofa inauzwa Mbweni JKT
-Nyumba ina vyumba v4 vya kulala vyote master bedrooms, dining room, sitting room, kitchen na public toilet.
-Swimming Pool
-Plot size Sqm 1,000
-Document: Title Deed
Bei shilingi milioni 950 maongezi yapo
Mawasiliano wasiliana nasi
0713486848
0754486848