1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA MPYA KABISA ZINAPANGISWA KODI 400,000X6
LOCATION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI KM 1.5 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 UKISHUKA UNATEMBEA DK 1 UMEFIKA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
___________
#CHUMBA KIMOJA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#PABLICK TOILET & MASTER NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI MITA YAKO
#FULL ACC & HITTER MAJI MOTO NA BARIDI
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK ๐ซ
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347