1 Bedrooms House for Rent at Mabanda, Tanga


NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE YAKE YA WAYA
KODI 250,000 × 6
NOTE;- NYUMBA HII UWEZI KULAZA GARI NDANI,GARI INAISHIA NYUMBA YA MBELE YAKE
#SEBULE KUBWA
#DINNING ROOM
#VYUMBA V3 VIKUBWA VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
💥KUNA MABANDA YA KUFUGIA KUKU KAMA WEWE NI MFUGAJI 🐓🐓🐓
❌❌ HAILAZI GARI NDANI (NO PARKING) ❌❌
💫💫 NYUMBA HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 4 UPO KWENYE NYUMBA
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp