1 Bedrooms House for Rent at Mwenge, Dar Es Salaam


Master bedroom , Sebule na Jiko 600k🏠
Specifications:-
• Nyumba ipo Maeneo ya Mwenge📍
• Chumba Kimoja ni Master
• Jiko Lake Zuri Kabisa
• Fence Na Parking ipo
• Full AC/Heater✅
• kabati la kuwekea nguo
• Maji na Umeme unajitegemea
Payment Conditions:-
• Kodi ya Nyumba Kwa Mwezi ni 600k✅
• Malipo Ya Kodi ni ya Miezi Sita (6)
Service Fee:-
• Gharama Za Kuona Numba Ni 20k (Inalipiwa Mara Moja
Hadi Utakapopata Nyumba)
• Gharama Za Dalali Ni Mwezi Mmoja wa Kodi Ya Nyumba ambayo Hulipwa Na Mpangaji Tofauti Na Kodi
Contact:
•0744701813 Normal/Whatsapp📲