1 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 170,000X6
LOCATION UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU DAKIKA 12-15 KUTEMBEA USAFIRI BAJAJI 500
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
___________
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#SEBULE KUBWA
#PABLICK TOILET
#MAJI DAWASCO YANAFLOW CHOONI
#UMEME SABU MITA
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE IPO PEVING BLOCK ๐ซ
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347