1 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 150,000X6
LOCATION UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU DAKIKA 12-15 KUTEMBEA USAFIRI BODA 1000
DALALI MSIGWA MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA SANAA
#SEBULE KUBWA SANA UNATENGA JIKO
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU
#AINA FENCE ILA USALAMA WA KUTOSHA PAKING SPACE KUBWA
NB: NYUMBA INAPIGWA RANGI YOTE UNAINGIA
MAWASILIANO
0679997610
0658884015
MSIGWA