4 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


Nyumba inauzwa Kigamboni KISOTA📌
Nyumba vyumba vinne
Master kubwa mbili
Room mbili
Ukumbi juu na chini
Jiko juu na chini
Public toilet juu na chini
Dining kubwa
*Square meters 1600*
*IPO KISOTA KIGAMBONI*
*BEI 480 ML*
☎️0693 468394