Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


Nyumba inauzwa Kigamboni KISOTA๐
Nyumba vyumba vinne
Master kubwa mbili
Room mbili
Ukumbi juu na chini
Jiko juu na chini
Public toilet juu na chini
Dining kubwa
*Square meters 1600*
*IPO KISOTA KIGAMBONI*
*BEI 480 ML*
โ๏ธ0693 468394