4 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam
Nyumba nzuri ya kisasa Inauzwa
BEI MILIONI 160 maongezi yapo 📍
IPO MBEZI MWISHO MAKABE MSAKUZI
Dar es salaam - Tanzania
▫Vyumba Vinne vya Kulala
Master Bedroom
▫Sitting room
▫Dining room
◇ Kitchen
◇ Store
▫ Public toilet
▫Ukubwa wa kiwanja: 400
◇document Sales agreement
(Hati ya mauziano ya selikali za mitaa)
◇Kiwanja kimepimwa Hati miliki itatoka kwa Jina la mteja atakae nunua
◇ Maji Safi umeme vyote vipo
➡️ Nyumba Ina kisima cha kuhifadhi maji.
KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA
O677370515