4 Bedrooms House for sale at Mjini, Ruvuma


Nyumba Inauzwa Dodoma mjini
Location : Chang'ombe Extension
📌Km 5 Kutoka Dodoma mjini
📌Ukubwa wa kiwanja ni Sqm 438
SIFA ZA NYUMBA
📍Nyumba ina vyumba vinne vya kulala
📍Vyumba viwili ni masterbedrooms
📍Sitting room & Dining room ya kisasa
📍Public toilet na bathroom
📍Jiko pamoja na stoo
📍Electric fence na CCTV cameras
📍Parking
📍Bustani nzuri
Bei ni mil 148
Mawasiliano : 0768 333 054