3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


#STAND ALONE INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE INAPANGISHWA KIMARA SUKA KODI NI 350,000X6
NYUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA NA KIMOJA MASTER BEDROOM
Sebule kubwa
Dining room
Jiko la kisasa
Public toilet
Luku
Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Parking yakutosha
Umbali KM 1 Usafiri BODABODA 1000 BARABARA NILAFIKI KWAAINA ZOTEZA MAGALI
Inakuwa wazi tar 8/10/20/24 kuona RUKSA KABISA
Kodi 350,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347