3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







300,000 X6 TEMBONI
STAND ALONE INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE HAINA FENSI INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI
NYUMBA INA VYUMBA 3 VYA KULALA NA KIMOJA MASTER BEDROOM
Sebule kubwa
Dining room
Jiko la kisasa
Public toilet
Luku
Maji yana flow ndani
Parking kuuuuubwaaaa sanaaa
Umbali KM 1.5 Usafiri pikipiki 1000
Kodi 300,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Service charge elfu 15. Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
Simu 0677445508