3 Bedrooms House for Rent at Mawasiliano, Morogoro
NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE YA WAYA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 6
NOTE;- NYUMBA HII UWEZI KULAZA GARI NDANI,GARI INAISHIA NYUMBA YA MBELE YAKE
🇹🇿 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
💥KUNA MABANDA YA KUFUGIA KUKU KAMA WEWE NI MFUGAJI
❌❌ HAILAZI GARI NDANI (NO PARKING) ❌❌
BEI NI 250,000/= X 6
💫💫 NYUMBA HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 4 UPO KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347