3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
NI NYUMBA NZR INAPANGISHWA
.
IPO KWENYE FENCE YA PEKE YAKE. STAND ALONE
.
LOCATION: KKMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
.
UMBALI WA KM 2.5 KUTOKA MOROGORO ROAD USAFIRI BAJAJI 700 BODA ELFU 1500 MPKA GETIN
.
KODI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA KAMILI
UKIWA NA MIEZI PUNGUFU UCJE
.
SIFA ZAKE
=========
VYUMBA VITATU
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI KUBWA
CHOO NDANI PUBLIC
AINA MASTER
TILLES
GYPSUM
ALUMINIUM
LUKU YAKE
MAJI YAKE
DAWASA
YANAFLOW CHOONI
NYUMBA NZR
MAZINGIRA TULIVU
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUMU MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
CONTACT
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI