3 Bedrooms House for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam







NYUMBA KALI SANA INAPANGISHWA
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI (STAND ALONE)
___________
LOCATION: MBWENI - NJIA YA JKT
___________
Nyumba ina Vyumba 3 vya kulala, 1 Master, Sebure, Dining, Jiko la kisasa na Public Toilet.
Nyumba imefungwa A/C
KODI: Tsh. 600,000/=Kwa Mwezi.
___________
Service Charge: Tsh.30,000/=
Call/WhatsApp: 0687800788