3 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


🏡 NYUMBA INAUZWA – MBEZI MAKABE, DAR ES SALAAM 🇹🇿
✅ Ina hati halali ya Wizara 📄
✅ Vyumba 3 vya kulala (1 master)
✅ Sebule kubwa, dining, jiko, stoo & public toilet
✅ Makabati vyumbani na jikoni
✅ Eneo kubwa Sqm 730 (kwenye hati)
✅ Mita 400 tu kutoka barabara kuu (inawekewa lami)
✅ Inafikika kirahisi hata gari ya chini 🚗
✅ Maji yapo 💧
✅ Kuna mpangaji (inafaa kwa uwekezaji) 💼
💰 Bei: Milioni 100
📞 Kwa maelezo zaidi piga: +255688412890
📲 dalaliwakishua
✨ “Miliki Kesho Yako Leo!”
🙏 Karibu sana ndugu mteja



















