3 Bedrooms House for sale at Mbweni, Dar Es Salaam


TAREH 26/2/2025 NYUMBA INAUZWA DAR ES SALAM TZ
MAHALI MBWENI KIEMBENI
PLOT SIZE SQM 800
BEI TSH MIL 95
NYUMBA YA VYUMBA VITATU
SEBULE DINING PABLC STOO JIKO MAJI UMEME
KUTOKA MBWENI MALINDI MPAKA KWENYE NYUMBA KILOMETER 3
MAWASILIANO YETU YA SIM PIGA
Piga simu 0745010009
UDUMA. YA. KUONA. NYUMBA ELFU 30