2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


[05/08, 09:35] Dalal Erick Kimara: ZIMEBAKI APARTMENT 1TU YA LAKI 450 NA LAKI TANO KARIBUNI WATEJA WANGU NA WADAU WOTE MWENYE MTEJA KARIBU SANA.
[05/08, 09:35] Dalal Erick Kimara: APARTMENT nzuri sana za kisasa ZIPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI MWISHO UNATOKEA MJINI UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD.
-------
SIFA ZAKE =
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
TAILS
GYPSUM
MADIRISHA ALUMINIUM
REZEV SIMTANK
ULINZI UPO
USAFI WA MAZINGIRA NA MAJI TAKA NI JUKUMU LA MWENYE NYUMBA.
✌️VYUMBA VIWILI VYA KULALA VYOTE MASTER
SEBULE KUBWA
DINING ROOM
JIKO ZURI KUBWA
PUBLIC TOILET YA NJE KWA AJILI YA WAGENI.
--------
ZIPO APARTMENTS 1TOFAUTI NA BEI TOFAUTI KAMA IFUATAVYO =
👆JUU GOROFANI KODI NI LAKI 500,000 /=
👇ZA CHINI ZOTE KODI NI LAKI 450,000 /=KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
-----
NB = NYUMBA ZIPO TAYARI RUKSA KUONA NA KULIPIA ✍️BIASHARA NAMALIZA MWENYEWE SINA CHENI UKIJA NA CHENI UTAIVAA MWENYEW👯♂️👯♂️