Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


[05/08, 09:35] Dalal Erick Kimara: ZIMEBAKI APARTMENT 1TU YA LAKI 450 NA LAKI TANO KARIBUNI WATEJA WANGU NA WADAU WOTE MWENYE MTEJA KARIBU SANA.
[05/08, 09:35] Dalal Erick Kimara: APARTMENT nzuri sana za kisasa ZIPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI MWISHO UNATOKEA MJINI UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD.
-------
SIFA ZAKE =
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
TAILS
GYPSUM
MADIRISHA ALUMINIUM
REZEV SIMTANK
ULINZI UPO
USAFI WA MAZINGIRA NA MAJI TAKA NI JUKUMU LA MWENYE NYUMBA.
โ๏ธVYUMBA VIWILI VYA KULALA VYOTE MASTER
SEBULE KUBWA
DINING ROOM
JIKO ZURI KUBWA
PUBLIC TOILET YA NJE KWA AJILI YA WAGENI.
--------
ZIPO APARTMENTS 1TOFAUTI NA BEI TOFAUTI KAMA IFUATAVYO =
๐JUU GOROFANI KODI NI LAKI 500,000 /=
๐ZA CHINI ZOTE KODI NI LAKI 450,000 /=KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
-----
NB = NYUMBA ZIPO TAYARI RUKSA KUONA NA KULIPIA โ๏ธBIASHARA NAMALIZA MWENYEWE SINA CHENI UKIJA NA CHENI UTAIVAA MWENYEW๐ฏโโ๏ธ๐ฏโโ๏ธ