2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







#APARTMENT 2  TU NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA  KIMARA TEMBONI KM1 KUTOKA LAMI. 
VYUMBA 2 VYA KULALA 
KIMOJA MASTER BEDROOM 
SEBLE KUBWA 
JIKO KUBWA LA KISASA 
PUBLIC TOILET 
HEATER YA MAJI MOTO MAJI BARIDI 
FULL AIR CONDITION 
ELECTRONIC FENCE 
PARKING SPACE
NDANI YA FENCE 
KUBWA SANA 
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI 400,000/=ร6
MALIPO YA DALALI YA MWEZI MMOJA TU.
DALALI KIMARA SUKA LEONARD 
0719-092747
0683-387747
0765-494343



















