2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
=======================
*VYUMBA 2 VYA KULALA, SEBULE, JIKO, PUBLIC TOILET NDANI, MAJI DAWASA YANA FROW NDANI
*ZIKO NYUMBA 4 KTK COMPAUND MOJA, NA KILA MMOJA ANA JITEGEMEA KILA KITU NDANI, PARKNG SPACE KUBWA SANA
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM2, BAJAJI, DALADALA, TAX700
*KODI 250,000/= KWA MWEZI
______________________________
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI