2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







400,000x6. 0759151524
APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI KM1 KUTOKA LAMI BODA BUKU.
VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM
SEBLE KUBWA SANA
JIKO KUBWA LA KISASA
PUBLIC TOILET
MAJI YANA FLOW
LUKU YAKO
NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA SANA
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI 400,000/=×6
0679 956 863
0759151524