2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA SUKA DK15 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
--------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jilo kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window
Luku yako
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 420,000/=ร6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo 4.2
-----------
Contact
๐#0676_218580 (WhatsApp)
๐#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA ๐น๐ฟ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT๐น๐ฟ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐