2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
🤝 Inapangishwa KIMARA BARUTI
📍Kodi Tsh. 600,000/= *6
________
___
• Vyumba 2 vya kulala (Kimojawapo Master)
• Sebule
• Jiko Kubwa
• Public Toilet
• Store kwa nje
* Umeme & Maji Inajitegemea
* Ndani ya Fensi zipo 3 tu
* Parking
#Umbali wa dakika 10-12 kwa miguu
#Upande wa kushoto kama unaenda Ubungo
__________
#Malipo ya Dalali Tsh 600,000/=
#Gharama ya Kupelekwa Kuona Nyumba Tsh 20,000/=
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343