2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
🤝 Inapangishwa KIMARA STOP OVER
📍 Kodi Ni 400,000/= ×6
_______
___
#Barabara ya lami (Zege) hadi kwenye Nyumba
• Vyumba 2 vya kulala (Kimojawapo Master)
• Sebule Kubwa
• Jiko
• Public toilet
* Ndani ya fence zipo 3 tu, na hii moja ndio imebakia
* Inajitegemea UMEME na MAJI
* Mazingira Tulivu sana
* Parking
#Umbali wa dakika 8 tu kwa miguu, barabara nzuri hadi nyumbani
Service Charge 15,000
#Malipo Ya Dalali Peter Kodi Ya Mwezi Mmoja
For More informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp