2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
NEW NEW STAND ALONE NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI ISIYOLAZA GARI ILA PARKING IPO
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#CHOO CHA WAGENI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE ISIYOLAZA GARI ILA PARKING IPO KUBWA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 5-6 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 450,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
0715949085
0782838336