2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


*STAND ALONE MPYAA" YA AINA YAKE*
*INAPANGISHWA*
*KIMARA TEMBONI*
*KODI YAKE NI MSEREREKO KABISA*
💥 *KODI YAKE 150K X6//*
*ILIPWE LAKI MOJA NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI SITA*📌
🏘️ *STAND ALONE HII YA BEI NAFUU INA SIFA ZIFUATAZO*
⚡ *VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA*
⚡ *SEBURE SAFI*
⚡ *PUBLIC TOILET OUT SIDE*
⚡ *TILES/ GIPSUM*
⚡ *SLIDE WINDOW*
⚡ *UMEME METER YAKE*
⚡ *MAJI SAFI DAWASA YAPO KWA NJE HAPO.*
❌ *HAKUNA MASTER*❌
❌ *HAKUNA JIKO*❌
🏘️ *NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI MWISHO.*
*UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2.*
*BAJAJI TSH 700/=*
*BODA BODA TSH 1,000/=*
*KIJUMBA HIKI HAKIPO NDANI YA FENCE, LAKINI USALAMA WAKE NI WA KUTOSHA*🏘️
🏘️🇹🇿 *KARIBUNI SAANA*📌
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI