2 Bedrooms House for Rent at Mateves, Arusha
NYUMBA INAPANGISHWA MATEVES ARUSHA
Nyumba ni mpyaa ipo jirani na airport
Inajitegemeaa
🔹️Ina Vyumba Viwili Vyumba vyote ni master
🔹️Ina Jiko lenye makabati
🔹️Ina sebule na dairining
🔹️Ina Parking
🔹️Inajitegemea
🔺️Bei 400,000/= Kwa Mwezi
Call 0758105801