2 Bedrooms House for Rent at Mawasiliano, Morogoro
APARTMENT nzuri sana za kisasa ZIPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI MWISHO UNATOKEA MJINI UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD.
-------
SIFA ZAKE =
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
TAILS
GYPSUM
MADIRISHA ALUMINIUM
REZEV SIMTANK
ULINZI UPO
USAFI WA MAZINGIRA NA MAJI TAKA NI JUKUMU LA MWENYE NYUMBA.
✌️VYUMBA VIWILI VYA KULALA VYOTE MASTER
SEBULE KUBWA
DINING ROOM
JIKO ZURI KUBWA
PUBLIC TOILET YA NJE KWA AJILI YA WAGENI.
--------
ZIPO APARTMENTS MBILI TOFAUTI NA BEI TOFAUTI KAMA IFUATAVYO =
👆JUU GOROFANI KODI NI LAKI 500,000 /=
👇ZA CHINI ZOTE KODI NI LAKI 450,000 /=KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
-----
NB = NYUMBA ZIPO TAYARI RUKSA KUONA NA KULIPIA ✍️BIASHARA NAMALIZA MWENYEWE SINA CHENI UKIJA NA CHENI UTAIVAA MWENYEW👯♂️👯♂️ kwa mawasiliano zaidi piga no 0780600341