Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mawasiliano, Morogoro


APARTMENT nzuri sana za kisasa  ZIPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI MWISHO UNATOKEA MJINI UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD. 
-------
SIFA ZAKE =
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI 
UMEME LUKU INAJITEGEMEA 
TAILS 
GYPSUM 
MADIRISHA ALUMINIUM 
REZEV SIMTANK 
ULINZI UPO
USAFI WA MAZINGIRA  NA MAJI TAKA NI JUKUMU LA MWENYE NYUMBA. 
✌️VYUMBA VIWILI VYA KULALA VYOTE MASTER 
SEBULE KUBWA 
DINING ROOM 
JIKO ZURI KUBWA 
PUBLIC TOILET YA NJE  KWA AJILI YA WAGENI. 
--------
ZIPO APARTMENTS MBILI TOFAUTI NA BEI TOFAUTI KAMA IFUATAVYO =
👆JUU GOROFANI KODI NI LAKI  500,000 /=
👇ZA CHINI ZOTE KODI NI LAKI 450,000 /=KWA MWEZI 
MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA 
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
-----
NB = NYUMBA ZIPO TAYARI RUKSA KUONA NA KULIPIA ✍️BIASHARA NAMALIZA MWENYEWE SINA CHENI UKIJA NA CHENI UTAIVAA MWENYEW👯♂️👯♂️ kwa mawasiliano zaidi piga no 0780600341



















