2 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba mpya inapangishwa Tabata Shule.
Vyumba viwili (kimoja master), sebule, jiko, public toilet, umeme na maji unajitegemea.
Full A/C.
Paving na parking ipo.
Maji 24/7.
Wapangaji 4.
Kuingia ni tarehe 15 mwezi wa 10.
Kuona na kulipia ruksa.
Kodi 700,000/=.
Muhitaji piga 0688 412 890.