2 Bedrooms House for sale at Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA KIMARA MWISHO NJIA NNE - MATOSA
Vyumba 2 vya kulala sebule na public toilet
BEI Milioni 15
ENEO SQM 400
Huduma zote Muhimu zipo hapa
Nyumba ipo MATOSA MWISHO , kutoka MATOSA MWISHO KM 1 Tu pikipiki 1000 Tu
Kupelekwa kuona nyumba elfu 30
What saapp number 0689-547258