2 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam
Million 52. 0759151524
Nyumba inauzwa ipo mbezi mwisho msumi 📍
Ina: 2 bedroom ✅
1 master room ✅
Sitting room ✅
Kitchen ✅
Toilet public ✅
Ukubwa wa kiwanja sqm 400✅
Eneo limepimwa (urasimishaji)becone tayari bado kulipia hati itoke ✅
Maji yapo (dawasco)✅
Umeme upo (luku)✅
Barabara nzuri inapitika misimu yote ✅
Nyumba ipo ndani ya fensi ina peving block eneo lote ✅
Kutoka nyumbani mpaka stend ya daladala msumi dk 7 kwa miguu✅
Document:mauziano serkali ya mtaa 📄
Bei:52m maongezi yapo 🤝
Full Ac nyumba nzima
0679 956 863
0759151524