Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
Million 52. 0759151524
Nyumba inauzwa ipo mbezi mwisho msumi ๐
Ina: 2 bedroom โ
1 master room โ
Sitting room โ
Kitchen โ
Toilet public โ
Ukubwa wa kiwanja sqm 400โ
Eneo limepimwa (urasimishaji)becone tayari bado kulipia hati itoke โ
Maji yapo (dawasco)โ
Umeme upo (luku)โ
Barabara nzuri inapitika misimu yote โ
Nyumba ipo ndani ya fensi ina peving block eneo lote โ
Kutoka nyumbani mpaka stend ya daladala msumi dk 7 kwa miguuโ
Document:mauziano serkali ya mtaa ๐
Bei:52m maongezi yapo ๐ค
Full Ac nyumba nzima
0679 956 863
0759151524