House/Apartment for Rent at Kibaha, Pwani






APARTMENT MPYA INAPANGISHWA KIBAHA KWA MBONDE
Chumba cha kulala
Sebule
Choo ndani
Jiko kubwa lenye makabati
Inajitegemea maji na umeme
Ndani ya fence parking IPO
Kodi 200,000 Kwa mwezi ร 3
Umbali Dakika 7 Kwa mguu
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0679447338
0753454167