House/Apartment for Rent at Kibaoni, Katavi
APARTMENT NZURI SANAAA INAPANGISHWA 🌱
__________________________
📍MAHALI- MIPANGO KIBAONI
_________________________
🚪 MUUNDO
-Vyumba V2 vya kulalaa ( HAKUNA MASTER)
-sebule
-Store
-jiko zuri
-Public toilet
_________________________
HUDUMA
-HEATER BAFUNI
-Maji yapo muda wote
-Umeme upo unajitegemea
-Parking space kubwa
-Iko ndani ya fence
-usalama wa kutosha
__________________________
💰MALIPO
~Bei ni 250,000 @ mwezi
~Muda wa malipo miez 3+
______________________________
NB; MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA..ATALIPIA MTEJA😎
☎️ MAWASILIANO
+255627262930 call/ wtsp
🏃♂️Gharama za kwenda site ni 10,000#