Nyumba/Apartment inapangishwa Kibaoni, Katavi


APARTMENT NZURI SANAAA INAPANGISHWA π±
__________________________
πMAHALI- MIPANGO KIBAONI
_________________________
πͺ MUUNDO
-Vyumba  V2 vya kulalaa ( HAKUNA MASTER)
-sebule
-Store
-jiko zuri 
-Public toilet
_________________________
HUDUMA 
-HEATER BAFUNI
-Maji yapo muda wote
-Umeme upo unajitegemea
-Parking space kubwa
-Iko ndani ya fence 
-usalama wa kutosha
__________________________
π°MALIPO
~Bei  ni 250,000 @ mwezi
~Muda wa malipo miez 3+
______________________________
NB; MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA..ATALIPIA MTEJAπ
βοΈ MAWASILIANO
+255627262930  call/ wtsp
πββοΈGharama za kwenda site ni 10,000#



















