House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
(270,000 Γ 4) πππ ππ₯π π§ππ ππ’π‘π
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI DK 10 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
-------
Chumba kikubwa sana
Sebule kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet NDANI
Maji yana flow
Luku yako/mita ya maji yako
Tiles
Gypsum
Electronic fence
Ndani ya fence
Paving block
Parking space kubwa sana
---------
Service charge 15,000/=
-----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 270000 x 4
-----------
Contact:
0654101710
0787205300