House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KIBACHELA INAPANGISHWA BEI NI 170,000/= X 3
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER
#SEBULE
#SEHEMU YA JIKO
#PUBLIC TOILET
#LUKU WANASHEA WA 2
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#INAYOPANGISHWA NI YA JUU GOROFANI
BEI NI 170,000/= X 3
ILIPWE LAKI MOJA NA ELFU 70 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 3 NA KUENDELEA
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA STOP OVER UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI PKPK SH ELFU MOJA TUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Mr.