House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
Apartment house for rent Kali Sana nzuri
Location kimara korongwe kwa mkua km 2 usafiri bajaji na daladala za kwenda mjini
Kodi 200000 kwa Mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba na sebule kubwa Sana
Choo ndani
Umeme luku yake
Maji dawasa ndan yanafloo
Paving block
Parking space fency
Dalali ubungo mbezi kimara
0785299128