House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT MPYA NZURI ZA KISASA ZINAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 6 KUHUSU PUNGUZO LA MALIPO YA MIEZI LINAONGELEKA
ZITAKUA TAYARI KUHAMIA KUANZIA TAREHE 28/12/2024 MAFUNDI WAPO SITE KWA KASI CHA 5G
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA LINAFUNGWA MAKABATI
#PUBLIC TOILET IPO
#AIR CONDITION
#CCTV CAMERA
#GATE LA REMOTE
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA YA KUTOSHA
BEI NI 350,000/= X 6
KUHUSU MALIPO YA MIEZI YANAONGELEKA NDUGU MTEJA FIKA SITE
💫💫 APARTMENT HIZI MPYA ZIPO KIMARA STOP OVER NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 5 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0677370515
ITAKUA TAYARI KUHAMIA KUANZIA TAREHE 28/12/2024 MAFUNDI WAPO SITE KWA KASI YA 5G