House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
——
APARTMENT HIZO APO MOJA ITAKUWA WAZI
INAPANGISHWA IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
KUTOKA BARABARANI KM 1 TU
SIFA ZAKE
==========
CHUMBA SEBULE JIKO NA CHOO NDANI UMEME INAJITEGEMEA MAJI YANATOKA NJE
KODI NI 180,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
Itakuwa wazi TAREHE 20 mwenzi huu kuona kulipia ruksa endapo mpangaji akiwepo
Contact
0742260844
0657384670